Tuesday, November 11, 2014

First ever try at swahili.
Siku 10 tangu nilikuona
mtu 9 kwa rende
lakini yako figure 8 ndo niliona
venye ulichora 7
nilikufa mara 6
miaka 5 sasa tumekuwa pamoja
salary figure 4 bado hujaniwacha
watoto 3 sijui nitawalisha aje
tunaishi meal 2 kwa siku
juu ya kosa 1 nilifanya.

No comments:

Post a Comment